• +255 712 612 000
 • info@nbts.go.tz

Blog Page

ZAIDI YA CHUPA ZA DAMU 4,121 ZILIKUSANYWA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WACHANGIA DAMU NCHINI 14/6/2016

 • 14/6/2016
 • 17
 • MAADHIMISHO YA SIKU YA WACHANGIA DAMU

Mpango wa Taifa wa damu salama ulifanikiwa kukusanya chupa za damu 4,459 katika kampeni ya kukusanya damu wakati wa maadhimisho ya siku ya wachangia damu duniani, kati ya chupa hizo 944 zilikusanywa kanda ya mashariki (Dar, Dodoma, Morogoro na pwani) 719 kanda ya nyanda za juu kusini (Mbeya, Iringa, Ruvuma,njombe), 407 kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Tanga), 889 kanda ya magharibi (Tabora na Kigoma), kanda ya ziwa 895 (Mwanza, kagera, Geita na Mara) na 267 Kanda ya kusini (Mtwara na Lindi).

Read more

Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni SOTE TUNAUNGANISHWA NA DAMU (BLOOD CONNECTS US ALL) na Kampeni ya mwaka huu ililenga;

 • 14/6/2016
 • 17
 • SOTE TUNAUNGANISHWA NA DAMU (BLOOD CONNECTS US ALL)

- Kuonyesha jinsi maisha ya watu yameweza kuokolewa na watu ambao wamekuwa wakichangia damu
- Kuhamasisha wachangiaji damu wa kujirudia waendelee kuchangia damu
- Kuhamasisha watu wenye afya njema ambao hawajawahi kuchangia wachangie damu
- Wizara ya Afya kutambua wachangia damu wa kujirudia mara kwa mara na kuhakikisha upatikanaji wa damu na mazao ya damu ya kutosha kwenye hospitali zetu

Read more

Donor Recognition Strategy

 • 27/02/2018
 • 17
 • Purpose:

The purpose of the donor recognition strategy is to improve blood donation rates and donor retention by creating a social atmosphere of recognition and appreciation for blood donors. The desire to save lives is one of the strongest rationales for blood donors and seems to be a stronger and more common reason for blood donation than material incentives. The materials should be used to recognize the good will of voluntary blood donors, rather than incentivize individuals to donate blood.

Read more

BLOOD DONOR ASSESSMENT

 • 25/02/2018
 • 17
 • PRINCIPLES OF DONOR SELECTION

Donors should be in good health at the time of donation and free of infections transmissible by blood. Rigorous donor selection should be consistently applied to all blood donors either donating whole blood or through apheresis, whether first time or repeat donors.

Read more

Categories

Recent News

PRINCIPLES OF DONOR SELECTION

Donors should be in good health at the time of donation and free of infections transmissible by blood.

SOTE TUNAUNGANISHWA NA DAMU (BLOOD CONNECTS US ALL)

Kuonyesha jinsi maisha ya watu yameweza kuokolewa na watu ambao wamekuwa wakichangia damu.

Popular Talks

Donors should be in good health at the time of donation and free of infections transmissible by blood.

Read more

Mpango wa Taifa wa damu salama ulifanikiwa kukusanya chupa za damu 4,459.