Kukusanya damu


Mpango wa Taifa wa Damu Salama  hukusanya damu kutoka kwa wachangiaji damu wa hiari (Voluntary-Non Remunerated Blood Donors). 

Kuna aina kuu mbili za uchangiaji wa damu ambazo ni:-

1.Uchangiaji wa damu  nzina (whole blood donation) na 

2.Uchangiaji wa mazao mahsusi ya damu (apheresis donation) ambapo mtoaji damu hutoa sehemu maalum za damu tu kama:-

 Chembe sahani (platelets),

 Sehemu ya majimaji ya damu (plasma) au

 Seli nyekundu.(Red blood cells)