Utaratibu wa kufuata wakati wa kuchangia damu


Hatua ya 1: Mchangia damu anapokelewa mapokezi    

Hatua ya 2: Mchangia damu anasajiliwa (demografia)      

Hatua ya 3: uzito wa mwili wa mchangia damu unapimwa     

Hatua ya 4: Kupima kiwango cha damu cha mchangia damu        

 Hatua ya 5: kutambua hali ya afya ya mchangiaji damu kwa kutumia dodoso la mchangia damu    

Hatua ya 6: mchangia damu aliye na sifa anaenda kwenye chumba cha uchangiaji wa damu.   

Hatua ya 7: mchangiaji damu anaenda kupata viburudisho na kupumzika kwa dakika zisizopungua 15 kwa ajili uangalizi baada ya kuchangia damu