dira na dhamira
Dira
Kuwa taasisi pekee nchini katika kuhakikisha upatikanaji wa damu na mazao ya damu iliyo salama na inayokidhi viwango vya kitaifa na kimataifa.
Dhamira
Kuhakikisha upatikanaji wa damu salama ya kutosha ili kuokoa maisha ya Watanzania .