KIKAO CHA UONGOZI NA MISS TANZANIA 2022
Posted on: October 26th, 2022Mpango wa Taifa wa Damu Salama, umefanya kikao na Miss Tanzania 2022 halima kopwe kujadili namna ya kushirikiana katika kuelimisha jamil juu ya Masuala ya uchangiaji wa damu wa hiari na kuandaa kampeni za uchangiaji wa damu katika mikoa ambayo kuna vifo vingi vya mama na mtoto vinavyotokana na kuvuja kwa damu nyingi wakati wa kujifungua.