TAARIFA YA MAKUSANYO YA DAMU KWA KAMPENI ILIYOFANYIKA KWA ROBO MWAKA JANUARI –MARCH KUANZIA TAREHE 20 HADI 24 MACHI 2023

Posted on: March 28th, 2023

Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI iliendesha Kampeni ya ukusanyaji wa damu kuanzia tarehe 20-24 Machi 2023 Lengo lilikuwa ni kukusanya chupa za damu 22,000 kwa Mikoa yote 26. Jumla ya chupa za damu zilizo kusanywa ni 18,334 sawa na asilimia 83.34% ya lengo kama Jedwali namba 1 linavyoonyesha taarifa ya makusanyo kwa kila Mkoa, Vituo vya Kanda vya Damu Salama, Hospitali za Rufaa za Kanda na Hospitali ya Taifa. 

 

JEDWALI 1: MAKUSANYO YA DAMU KIMKOA KAMPENI YA 20-24 MARCH 2023

HALMASHAURI ZA MKOA

LENGO LA MKOA

JUMLA YA MAKUSANYO

MATOKEO (%)

NAFASI YA MKOA

Singida

518

1087

209.8%

1

Katavi

223

414

185.7%

2

Dodoma

778

1195

153.6%

3

Kigoma

807

1,185

146.8%

4

Pwani

412

604

146.6%

5

Njombe

246

341

138.6%

6

Mara

664

764

115.1%

7

Mwanza

1083

1238

114.3%

8

Mtwara

455

461

101.3%

9

Rukwa

397

377

95.0%

10

Mbeya

649

605

93.2%

11

Arusha

654

609

93.1%

12

Morogoro

840

771

91.8%

13

Manyara

562

474

84.3%

14

Lindi

305

239

78.4%

15

Tanga

770

591

76.8%

16

Shinyanga

573

428

74.7%

17

Ruvuma

515

370

71.8%

18

Simiyu

585

418

71.5%

19

Kilimanjaro

602

363

60.3%

20

Geita

668

363

54.3%

21

Kagera

969

425

43.9%

22

Tabora

893

328

36.7%

23

Songwe

395

137

34.7%

24

Dar es Salaam

1,946

629

32.3%

25

Iringa

335

108

32.2%

26

VITUO VYA KANDA VYA DAMU SALAMA

WZBTC

400

663

165.8%

1

SHZBTC

460

716

155.7%

2

CZBTC

368

516

140.2%

3

TPDF

300

312

104.0%

4

LZBTC

640

589

92.0%

5

SZBTC

320

288

90.0%

6

NZBTC

500

322

64.4%

7

EZBTC

640

368

57.5%

8

HOSPITALI ZA RUFAA ZA KANDA

Bugando

240

382

159.2%

1

Mbeya ZRH

160

185

115.6%

2

MOI

130

136

104.6%

3

Mloganzila

160

135

84.4%

4

KCMC

188

80

42.6%

5

MNH

480

141

29.4%

6

Benjamini Mkapa

170

30

17.6%

7

JUMLA

22,000

18,334

83.34%