Programu ya NBTS PT, inayohusika na uandaaji wa sampuli za kupima ubora katika eneo la utambuzi wa makundi ya damu, hivi karibuni imefanyiwa ukaguzi wa awali na wakaguzi kutoka Shirika la Af... Read More
Habari
Mpango wa Taifa wa Damu Salama umetunukiwa tuzo kwa kuongoza mpango bila deni na cheti cha shukurani kwa ushirikiano mkubwa na MSD. Tunathamini sana heshima hii na tunajivunia kushirikiana n... Read More
Mpango wa Taifa wa Damu Salama umezindua kampeni ya uhamasishaji wa wananchi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kampeni ya kitaifa ya ukusanyaji damu ya mwezi Disemba, 2023. Mpango wa Tai... Read More
Mpango wa Taifa wa Damu Salama, unaendelea kujenga uwezo katika hospitali za Rufaa za Mikoa nchini ili kuweza kutengeneza mazao ya damu na kuboresha ubora wa huduma za damu salama nchini. Ta... Read More
Waziri wa Afya. Mhe: Ummy Mwalimu ametembelea Makao makuu na kanda ya mashariki ya Mpango wa Taifa wa Damu Salama kuona hali ya upatikanaji wa damu na kufuatilia utekelezajaji wa maelekezo a... Read More
Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI iliendesha Kampeni ya ukusanyaji wa damu kuanzia tarehe 20-24 Machi 2023 Lengo lilikuwa ni ku... Read More
Mpango wa Taifa wa Damu Salama unaendelea kujenga uwezo katika vituo vyake vya Mikoa na Wilaya ili kuboresha huduma za Damu Salama Nchini, Tarehe 21-24/03/2023 Mpango umeendesha &nb... Read More
Na. Catherine Sungura, WAF,Dar Es Salaam Hospitali za Rufaa za Kanda na Mikoa kuanza kuzalisha mazao ya damu ili kuimarisha huduma za damu salama nchini. Hayo y... Read More
Kutoka Dodoma 27/10/2022 Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu amekutana na wadau wa Maendeleo @koicatanzaniaoffice KOICA na @uniceftz wanaofadhili miradi ya ujenzi wa kituo cha damu... Read More
Mpango wa Taifa wa Damu Salama, umefanya kikao na Miss Tanzania 2022 halima kopwe kujadili namna ya kushirikiana katika kuelimisha jamil juu ya Masuala ya uchangiaji wa damu wa hiari na kuan... Read More